+255 784 908 085
pawacap@qualitywater.co.tz
24/7

PAWACAP

Donate
  • Home
  • About Campaign
  • Volunteers
    • Volunteers
    • Become Volunteer
    • Donors
    • Donate Now
  • Events
    • All Events
    • Upcoming Events
    • Previous Events
  • Blog
  • Gallery
  • Contact Us

PAWACAP Blog

  1. Home
  2. Our Blog
Oct. 23, 2023, 5:11 p.m.
/
HADZABE TRIBE,

Changia turubali kwa kabila la Wahadzabe kujikinga na mvua za Elninyo

Changia turubali kwa kabila la Wahadzabe kujikinga na mvua za Elninyo

Menejimenti ya shirika la PAWACAP inapenda kukualika katika kampeni ya kuchangia maturubali 100 kwaajilia ya kuwasaidia wenzetu wa kabila la Wahadzabe kuezekea nyumba zao ambazo ni zamiti na majani ili kuwawezwsha kujikinga na mvua za Elninyo ambazo zinatarajia kunyesha mwakahuu wa 2023.

Hivyo ukiwa umeguswa kuwaweshesha kwa fedha taslimu au matubali, tafadhali wasiliana nasi au fika ofisini kwetu sanawari Arusha, na sisi tutaupokea mchango wako na kuuwakilisha kwa nduguzetu wa kabila la Wahadzabe wanaoishi katika kijiji cha Balay, wilaya ya Karatu mkoani Arusha Tanzania Africa ya mashariki.

Unaweza lipa kwa vodacoma lipa namba 5862133.

Au piga simu namba +255 784 908 085 au +255 746 697 000.

 

Share This

Search Keywords

Categories

  • MOBILE DUSTBIN
  • MOVE COP 28
  • HADZABE TRIBE
  • Social Culture
  • Water Survey
  • Kaloleni, Arusha Tanzania
  • +255 784 908 085
  • pawacap@qualitywater.co.tz
  • 24/7

Newsletter

Get Update Every Week

Give us a call

+255 784 908 085

  • About Us
  • Our Events
  • Contact Us
  • Staff Mail
  • Staff Portal
  • Managament Portal
© Copyright Quality water and Sanitation Company 2020. | Created by Kel Technology
Terms & Condition | Privacy Policy | Legal